Blogger Widgets Blogger Widgets

Friday, February 20, 2015

REST IN PEACE MEZ B (MEMBER & FOUNDER OF CHAMBER SQUAD)

Moja kati ya taarifa ambazo zimestua watu wengine inchini Tanzania ni hii ya Gwiji wa Bongo fleva Mez B ambaye alikuwa moja kati ya waanzilishi wa bongo fleva ambaye pia alikuwa ni mwanzilishi wa kundi la East Zoo.

MEZ B amefariki leo akiwa nyumbani kwao Dodoma hii imethibitishwa na dada wa marehemu pamoja na mwanamziki mwenzio Noorah,msiba upo nyumbani kwao kisasa dodoma.

''BWANA AMETOA NA BWANA AMETWAA,JINA LA BWANA LIHIMIDIWE MILELE,APUMZIKE KWA AMANI"