Blogger Widgets Blogger Widgets

Tuesday, March 18, 2014

WHO'S THE CHAMP?:#BHITZ MUSIC GROUP VS #A.M RECORDS

HAPA #BOB MANECKY HAPA PANCHO LATINO NA MAANISHA HAPA USIENDE MBALI HAPA ONLY U ZOTE AMESHIRIKISHWA JUX

Producer Bob Manecky anayesababisha na pia ndo Founder wa A.M Records amefanya ngoma nyingi sana hapa Tz nikianza kuzitaja nazani nitamaliza page nzima  lakini ya hivi karibuni ni hii ya M-RapLion ambapo ndani kuna sauti ya Jux nyimbo inaitwa"USIENDE MBALI"


HAPA TUNA...
223567_10150177411970829_1670825_n
Ambapo kuna producer wa wawili mahiri kuna Hermy B na Pancho Latino, pia Studio yao imeshafanya kazi na ma artist kibao nikisema nitaje sizani ka nitamaliza ila kifupi ni pamoja na M-rap ambaye alikuwa chini ya management ya BHitz kabla ya mkataba wake kuisha


 TRACK IPI WE UMEIELEWA ZAIDI...NO BIFU NI MUSIC ISSUE...!!!

1 comment:

Anonymous said...

EEH BWANA DUDE LA PANCHO LATINO LIMESIMAMA KINOMA